Msimbo wa moduli : E 186 SWA
Mwelekezaji: Emmanuel NIYOBUHUNGIRO
Mwishoni mwa moduli hii, wanafunzi wataweza:
Kufafanua dhana muhimu zinazoambatana na somo la Mofolojia ya Kiswahili;
Kueleza na kufafanua uhusiano kati ya mofolojia na viwango vingine vya sarufi;
Kutambua, kufafanua na kueleza ipasavyo aina za maneno ya Kiswahili;
Kudhihirisha vipashio vya kimuundo katika aina za maneno ya Kiswahili;
Kufafanua na kueleza maumbo ya maneno ya Kiswahili kulingana na mofimu zake.
MAREJELEO
Vitabu maalum:
Massamba, D. P. B., Kihore, Y.M., & Y. P. Msanjila 2003, Sarufi Maumbo ya Kiswahili Sanifu. DSM, TUKI
Massamba, D. P. B., Kihore, Y.M., & J.I. Hokororo 2001 [1999], Sarufi Miundo Kiswahili sanifu. DSM, TUKI
Mgullu, R. 1999, Mtalaa wa Isimu. Nairobi, Longhorn
Habwe J. na Karanja P. 2004. Misingi ya Kiswahili. Phoenix Publishers Ltd. Nairobi.
Obuchi S.M na Mukhwana A. 2010. Muundo wa Kiswahili. Ngazi na vipengele. Nairobi. A~ Frame Publisers.
Vitabu vya ziada:
Kapinga M.C. 1983, Sarufi maumbo ya Kiswahili Sanifu. DSM, TUKI.
Mfaume, G.E. 1982, Misingi ya Isimu ya Lugha ya Kiswahili. Utamaduni Publishers, DSM
Mohamed, A., M. 1996, Sarufi mpya/ new Kiswahili grammar. DSM, Press Publicity Centre
TUKI, (Mh.) 1990. Kamusi Sanifu ya isimu na Lugha. DSM: TUKI/UNESCO/SIDA.
TUKI, (Mh.) 1981. Kamusi ya Kiswahili Sanifu. DSM/Nairobi, OUP.
Mtandao :
http://www.ifeas.uni-mainz.de/SwaFo
http:// www.njas.helsinki.fi
http://www.jpanafrican.com/archive_issues/vol2no8.htm
http://www.ajol.info/index.php/ksh
Ahsanteni
Ndimi,
Emmanuel
- Teacher: MUKASHYAKA Azela
- Teacher: BIKORIMANA DONALD
- Teacher: Niyobuhungiro Emmanuel